Nafasi Ya Matangazo

December 01, 2015

shindi wa mbio za KM 10 kwa wanaume ,Lameck Msiwa akimaliza mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.


Mkurugenzi wa Zara Tanzania na Zara Charity,Zainab Ansel akishiriki mbio hizo pamoja na mdogo wake Rahma wakikimbia mbio za Km 5.


Washiriki wa Mbio za Km  5 zilizowashirikisha zaidi watoto wanao lelewa katka ituo mbalimbali mjin Moshi.


Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi.SOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Baadhi ya washiriki wa mbio hizo kutoka nje ya nchi wakimalizia mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Usalama kwa wakimbiaji uliimarishwa zaidi.
Mwanariadha Banuelia Bryton akihitimisha mbio akiwa nafasi ya kwanza katika mbio za KM 10 kwa upande wa wanawake. 
Mkurugenzi wa Zara Tanzania,Zainab Ansel akimalizia mbio za KM 5.
Askari Polisi wa Kikosi cha usalama barabarani ,Salatory Mtanange akiwasindikiza washiriki wa mbio hizo waliokuwa mwishoni kabisa huku akikimbia nao kwa karibu.
Baadhi ya washiriki wa mbio za KM 3 katika mbio za Kilimanjaro Health Run 2015.
Kampuni ya Vinywaji baraidi ya Bonite ya mjini Moshi ilidhamini zawadi kwa washindi wa mbio hizo.
Zoezi la utoaji wa zawadi kwa washindi wa mbio hizo z
likianza rasmi.
Baadhi ya wakurugenzi wa mashirika mbalimbali waliofika kwa ajili ya mbio za Kilimanjaro Health Run ambazo hufanyika kila mwaka.
Katibu wa Chama cha riadha mkoa wa Kilimanjaro  ( KAA ),Amini Kimaro akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania ,Zainab Ansel akizungumza katika sherehe za kilele cha mbio hizo.
Viongozi wa mashirika mbalimbali wakiwa tayari kukabidhi zawadi kwa washindi.
Mshind wa kwanza wa Mbio za Km 10 ,Lameck Msiwa akikabidhiwa zawadi zake mara baada ya kuibuka mshindi katika mbio hizo.
Mshindi wa kwanza kwa wanawake katika mbio za KM ,10 Banuelia Bryton akikabidhiwa zawadi zake.
Mshindi wa pili kwa wanawake Mbio za KM 10 Adelina Aclati akikabidhiwa zawadi.
Mshind kwa upande wa walemavu pia alijipatia zawadi zake.
Diwani wa kata ya Longuo ,Ray Mboya akizungumza katika sherehe mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Posted by MROKI On Tuesday, December 01, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo