Nafasi Ya Matangazo

November 23, 2015

Mwakilishi wa Tanzania katika mshindano ya Urembo Duniani (Miss World 2015) Miss Tanzania 2014, Lilian Deus Kamazima akiwa katika vazi maalum la kiutamaduni wakati wa onesho maalum la ngoma za asili ambazo zilioneshwa na warembo wanaoshiriki Miss World 2015. Onesho hilo lilijulikana kama "Dance of the World" lilifanyika huko Sanya China.
Posted by MROKI On Monday, November 23, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo