Nafasi Ya Matangazo

August 24, 2015

 Meneja Mafunzo ya Biashara wa Airtel Tanzania, Ayubu Kalufya akitoa elimu kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam jana.
 Wakala wa Airtel Money Tabata, Sabas Ngwira akiuliza swali kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam jana.
Wakala wa Airtel Money Ukonga, Grace Kimaro  akiuliza swali kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam jana.
Sehemu ya Mawakala wa Airtel Money mkoa wa Dar es Salaam wakifuatilia mafunzo kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, iliyofanyika jijini jana.
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo