Nafasi Ya Matangazo

July 06, 2015


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifuturu pamoja na wageni waalikwa kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya NHC (NHC PLACE) jijini Dar es slaan Julai 3, 2015 ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC yeye mwenyewe.
Waandazi wa futari hiyo iliyofuturiwa jijini Dar es Salaam wakiendelea na maandalizi siku ya tukio.
Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya NHC (NHC PLACE) jijini Dar es slaan Julai 3, 2015 ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu pia walialikwa kwenye futari hiyo.
Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya NHC (NHC PLACE) jijini Dar es slaan Julai 3, 2015 ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu pia walialikwa kwenye futari hiyo.SOMA ZAIDI FK MATUKIO
Posted by MROKI On Monday, July 06, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo