Nafasi Ya Matangazo

June 15, 2015

Meneja wa Benki ya NMB tawi la Usa River,Bernadeta Mmary akikabidhi msaada wa madawati kwa mwakilishi wa afisa elimu,Jumanne Masuke uliotolewa na benki kwa shule ya msingi ,Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilayani Arumeru.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akifurahia msaada wa madawati toka Benki ya NMB ,wengine ni viongozi kutoka katika benki hiyo pamoja na viongozi waliokuwa wakiiwakilisha serikali.

Meneja wa NMB tawi la Usa River ,Bernadeta Mmary akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo wa madawati.

Mbunge Joshua Nassar akizungumza wakati wa hafla fuoi ya kukabidhi msaada wa madawati uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya shule ya msingi Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilaya ya Arumeru.

Baadhi ya wanafunzi wakiwa wameketi katika madawati yaliyotolewa na Benki ya NMB.

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Sura ,Raphael Akyoo akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa madawati.

Mbunge Nassar pamoja na viongozi wa benki ya NMB wakiwa katika picha ya pamojamara baada ya kukabidhi msaada wa madawati.
Posted by MROKI On Monday, June 15, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo