Nafasi Ya Matangazo

April 11, 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Francis Nanai akizungumza wakati akizindua asasi ya kuendeleza vijana katika masuala ya uongozi ijulikanayo kwa jina la Tanzania- Asia Young Leaders (TAYL).
 Wajumbe na wanachama wa asasi hiyo walifuatilia uzinduzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Francis Nanai (Kulia) akiwa na mmoja wa waanzilishi na mkumbe wa kamati kuu ya  asasi ya kuendeleza vijana katika masuala ya uongozi ijulikanayo kwa jina la Tanzania- Asia Young Leaders (TAYL) Rugambo Rodney.
****************
Posted by MROKI On Saturday, April 11, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo