Nafasi Ya Matangazo

March 27, 2015

Otingo wa Gari la Kampuni ya  Usafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam (UDA)  lenye nama za usajili T 558 CVP  akitoa maelezo kwa mmoja wa abiria na kumuomba asubiri awapandishe kwenye gari nyingine la kampuni hiyo baada ya gari hilo kugongana na Gari lenye usajili wa T 498 DCU katika makutano ya Samora na Azikiwe .
 Askari wa Usalama Barabarani wakiwa katika eneo la tukio
 Askari wa Usalama Barabarani katikati akiongea na Dereva wa Gari lenye usajili  T 558 CVP  Mali ya  Kampuni ya  Usafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam (UDA)  akimwelekeza na kumuomba wapeleke gari kituoni polisi.
Wananchi wakiliangalia Gari lenye Usajili T 498 DCU lililopata ajali baada ya kugongana na gari  T 558 CVP  Mali ya  Kampuni ya  Usafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam (UDA) katika makutano ya Samora na Azikiwe  na akimwelekeza na kumuomba wapeleke gari kituoni polisi.(PICHA NA KHAMISI MUSSA) TEMBELEA UJIJIRAHAA BLOG
Posted by MROKI On Friday, March 27, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo