Nafasi Ya Matangazo

March 27, 2015

 Wanachuo wapatao 115 kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Magogoni Dar es Salaam leo wamefanya zira ya kiamsomo Bungeni mjini Dodoma. Wanachuo hao pia walikutana na wenzao wengime kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Mtwara wapatao 50 ambao nao wamekuja Bungeni kimafunzo.
 wanafunzi hao wakifuatilia shughuli za Bunge.
 Wakiwa wametulia mjemgoni
Kila mmoja alikuwa makini kujifunza nini Wabunge na Spika anafanya awapo Bungeni. Hawa ni watunza kumbukumbu na makatibu muktasi. Lakini pia zipo fani nyingine nyine wanazojifunza.
Posted by MROKI On Friday, March 27, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo