Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2015




Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto), akizungumza na viongozi wa Kata ya Ololosokwan, wilaya ya Ngorongoro (kutoka kulia), Diwani wa kata hiyo, Yannick Ndoinyo, Mwenyekiti wa kijiji cha Ololosokwan, Kerry Dukunyi na Mjumbe wa Baraza la kijiji hicho, Norkishili Naing’isa, walipomtembelea ofisini kwake katika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kutoa shukrani zao baada ya kampuni hiyo kufunga mnara katika eneo lao na kupelekea urahisi wa mawasiliano ikilinganishwa na hapo awali. 


Diwani wa Kata ya Ololosokwan, wilaya ya Ngorongoro, Yannick Ndoinyo,  (kulia), akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto), wakati baadhi ya viongozi wa kata hiyo, walipomtembelea ofisini kwake katika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kutoa shukrani zao baada ya kampuni hiyo kufunga mnara katika eneo lao na kupelekea urahisi wa mawasiliano ikilinganishwa na hapo awali. Wa (wa pili kulia) ni Mwenyekiti wa kijiji cha Ololosokwan, Kerry Dukunyi na Mjumbe wa Baraza la kijiji hicho, Norkishili Naing’isa.
Posted by MROKI On Friday, March 06, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo