Nafasi Ya Matangazo

February 19, 2015

Meneja Mauzo wa FNB Tanzania Emmanuel Mongella akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya mikopo ya malipo kwa miaka ishirini iliyozinduliwa na benki hiyo jana jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma kwa Mtandao, Silvest Arumasi na Mshauri wa Mikopo ya Nyumba, Bi. Patricia Nguma

Mshauri wa Mikopo ya Nyumba wa FNB Tanzania, Bi. Patricia Nguma akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya mikopo ya malipo kwa miaka ishirini iliyozinduliwa na benki hiyo jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Meneja Mauzo, Emmanuel Mongella na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma kwa Mtandao, Silvest Arumasi.

Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma kwa Mtandao wa , Silvest Arumasi wa FNB Tanzania akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya mikopo ya malipo kwa miaka ishirini iliyozinduliwa na benki hiyo jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Meneja Mauzo, Emmanuel Mongella na kulia ni Mshauri wa Mikopo wa Nyumba wa benki hiyo Patricia Nguma.


Posted by MROKI On Thursday, February 19, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo