Nafasi Ya Matangazo

November 24, 2014

Msanii wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT jebby anatatajia kuachia wimbo wake mpya kuanzia tarehe 25 mwenzi huu au tareha 5 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.

Akizungumza na mtandao huu amesema kuwa alikuwa amekaa kimya mda mrefu bila kuaachia wimbo wowote kutokana na changomoto za kimziki na maisha nje muziki.

hata hivyo jebby aliuambia mtandao huu kuwa wimbo wake ameufanya katika studio mazuu record na producer wa wimbo huu ni mazuu na kuomba watanzania kumpokea tena kama ambayo walikuwa wakimpokea hapo awari.
Posted by MROKI On Monday, November 24, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo