Nafasi Ya Matangazo

September 08, 2014



Mkurugenzi  wa Mazingira Ofisi ya  Makamu wa Rais Dk. Julius Ningu  akizungumzia uharibifu wa Tabaka la Ozoni  utokanao na matumizi ya gesi  zisizo rafiki kwa Mazingira, Ofisini kwake leo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Saalam.

Mkurugenzi  Msaidizi  Idara ya Mazingira ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Magladena Mtengu,  akitoa  ufanunuzi kuhusu mikakati inayo chukuliwa na Serikali katika kuelimisha umma juu ya uharibifu wa Tabaka la Ozoni  inayosababishwa  na matumizi ya gesi hatarishi  kwa Mazingira  akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake jijini Dar es Saalam leo.
*********
Posted by MROKI On Monday, September 08, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo