Nafasi Ya Matangazo

September 30, 2014

Unaweza kusema madereva wengi wa mabasi makubwa hawajui kusoma alama za barabara au wanakiburi, zaidi ya kuhofia tu uwepo wa askari wa usalama barabnarani humo walio na tochi. Ona dereva wa basi hili la kulia T992 CFD likijaribu kulipita basi dogo la abiria T 609 CQE katika mwinuko bila kujali mistari ya barabara ambayo inakataza kulipita gari lililoko mbele yako. Madereva tafadhalini sana jalini uhai wa wateja wenu.
Posted by MROKI On Tuesday, September 30, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo