Nafasi Ya Matangazo

August 19, 2014

 Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele  juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika linalotarajiwa kufanyika  mkoani Arusha, Tanzania mapema Machi, 2015

Naibu Waziri wa Nishati na Madini  Mhe.  Stephen Masele (kulia ) na Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) wakiwa katika picha ya  pamoja mara baada ya kumalizika kikao hicho.
Posted by MROKI On Tuesday, August 19, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo