Nafasi Ya Matangazo

August 27, 2014

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Dk. Nyamajeje Weggoro (wapili  kulia) akifafanua jambo  kwa wajumbe wenzake juu ya ujenzi wa Chuo chake cha  Usafiri wa Anga (CATC)  wakati walipotembelea eneo la mradi huo uliopo Fukayose Bagamoyo mkoa wa Pwani .Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Mbwana Mbwana (tikakati) ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Charles Chacha,wengine kutoka kushoto ni wajumbe  Hanif  Malik ,Yussuf . Ali na katibu wa Bodi Vallery  Chamulungu.
Posted by MROKI On Wednesday, August 27, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo