Nafasi Ya Matangazo

August 13, 2014

 Maharusi Jackson Sikahanga na mkewe kipenzi Merina Kamala wakipozi kwa furaha baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama Dar es Salaam hivi karibuni na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka iliyofanyika ukumbi wa Skylion Kawe. Photo Production: MD Digital Company; +255 755 373999/+255 717002303.
 Jackson Sikahanga na mkewe kipenzi Merina Kamala   wakifurahia jambo kimahaba zaidi.
 Maharusi wakiwa na wazazi
 Ndugu jamaa na marafiki wakipiga picha na maharusi.
 Wakati wa kubariki shampeni ulifika na wafunguaji waliwapelekea maharusi.
 Jackson Sikahanga na mkewe Merina Kamala wakinyeshana mvinyo.
 Wazazi wakipata chakula ...
 Msosi ulikuwa wa maana
 Mzazi akitoa nasaha zake kwa maharusi
Maharusi wakikabidhi zawadi ya keki...
Kwaito ilichezwa vilivyo.....
Posted by MROKI On Wednesday, August 13, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo