Nafasi Ya Matangazo

July 12, 2014

Mtanzania aishie na kufabnya shughuli zake za uhandisi nchini Ungereza, John Kihama akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam kuhusiana na matumizi ya Barcods katika bidhaa za kitanzania zinazouzwa kimataifa ambapo alidai bidhaa za Tanzania nyingi zinatumia alama hiyo ya utambuzi kimataifa ya nchi nyingine.

Posted by MROKI On Saturday, July 12, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo