Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2014

Mwanamke wa kimasaai mkazi wa Dar es Salaam akimnyoa nywele mwenzake kando kando ya barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam kama alivyokutwa na Camera ya Father Kidevu Blog hivi karibuni. Wanawake wa jamii ya kimaasai ni mara chache sana kuwakuta wakiwa na nmyewe kichwani na mara nyingi hupendelea kunyoa kipara. 
Posted by MROKI On Monday, July 14, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo