Nafasi Ya Matangazo

July 12, 2014




Chipkizi wa Chama cha Mapinduzi mkoani Mbeya wakiwa wamebeba jeneza la Mwili wa Marehem,u Emanuel Mbuza aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Wilaya ya Mbeya mjini.
Mke wa maarehemu Emmanuel Mbuza akiongozwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe
 
 Kaka wa marehemu Emmanuel Mbuza, Oscar Mbuza (kulia) akiongoza ndugu zake kuweka shada la maua katika kaburi la ndugu yake kwenye makaburi ya familia eneo la Kalobe Jijini Mbeya.
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Umoja akimkabidhi bahasha ya rambirambi mtoto wa marehemu Mbuza, Chriprin Mbuza. Picha na Mkwinda Blog. 
Posted by MROKI On Saturday, July 12, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo