Nafasi Ya Matangazo

April 11, 2014


Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Kampuni ya RAN IT Solutions, Fatma Mohamed (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Halima Kihemba, fedha taslimu Shilingi Milioni 10 kwaajili ya kununulia vifaa vya Maabara shule Shule ya Sekondari Pangani, pamoja na Kompyuta tano vilivyotolewa na Kampuni hiyo pamoja na kampuni ya Lugumi zote za Dar es salaam. Katikati ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya hiyo, Innocencia Mfuru.
 Viongozi wa RAN IT Solution na Lugumi Enterprises Ellygod Sangawe (kushoto) na Fatma Mohamed wakisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mwalimu Mkuu wa Sekondari ya Pangani, Innocensia Mfuru.
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Halima Kihemba akizungumza wakati wa kupokeamsaada huo.
 Baadhi ya Wazazi na viongozi wa Kamati ya Shule hiyo
 Moja ya majengo ya shule hiyo ya sekondari ya Pangani.
 Mwalimu Mkuu wa Sekondari ya Pangani, Innocencia Mfuru (kulia) akiwatembeza wageni katika Maabara ya Shule.
 Wanafunzi wa pangani Sekondari wakibeba makosi ya Konmptuta walizokabidhiwa.
 Viongozi na wanafunzi pamoja na watoa msaada katika picha ya pamoja.

 kitita cha Milioni 10 kikioneshwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Jenifa Christian (kushoto) na Mkuu wa Shule.
 Makabidhino ya Kompyuta yakifanyika
 Meneja Mkuu Msaidizi wa RAN IT Solution, Fatma Mohamed akiwa na wanafunzi wa Sekondari ya Pangani, iliyopo Kibaha mkoani Pwani baada ya kuwakabidhi msaada.

Mwalimu Mkuu wa Pangani Sekondari, Innocencia Mfuru akizungumza.
Posted by MROKI On Friday, April 11, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo