Nafasi Ya Matangazo

February 01, 2014

3Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki ukarabati wa ngazi kwenye bustani ya jiji la Mbeya mahali ambapo Rais Jakaya Kikwete atapokea mtembezi ya mshikamano. 4Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikata utepe wakati akizindua tawi namba 2 la Inyala Kata ya Iyunga. 6Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akigawa kadi katika tawi la namba 2 la Inyala kata ya Iyunga. 7Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi tawi la Iyunga Kata ya Iyunga mara baada ya kuzindua tawi hilo. 8Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi tawi la Iyunga Kata ya Iyunga mara baada ya kuzindua tawi hilo. 9Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kushoto akikatiza mitaa ya Mwanjelwa na baadhi ya wana CCM wakati akizindua matawi ya kata ya Rwanda 
Posted by MROKI On Saturday, February 01, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo