Nafasi Ya Matangazo

November 01, 2013

 
 Wahitimu mbalimbali katika Shule ya Awali ya New Mwangaza Day Care ya Ukonga Mazizini jijini Dar es Salaam wakiwa katika foleni ya mahafali yao ya kumaliza shule ya awali (cheke chea) yaliyofanyika shuleni kwao leo. Wahitimu hao sasa wapo tayari kujiunga na elimu ya juu ya Msingi mwakani.
Baadhi ya wanafunzi waliobki wa shule New Mwangaza Dar Care wakiwa kitika uwanja wmahafali.
Posted by MROKI On Friday, November 01, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo