Nafasi Ya Matangazo

October 07, 2013

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wilaya ya Temeke, Patrick Swai (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 35, Mhandisi wa Kampuni ya Drima Drima Drilling, Amiri Msangi kwa ajili ya gharama ya uchimbaji wa kisima cha maji katika Zahanati ya Kibada iliyopo Kingamboni Dar es Salaam. Anayeshudia makabidhiano hayo yaliyofanyika juzi katika zahanati hiyo ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo Dk. Isabela Ipopo.
Posted by MROKI On Monday, October 07, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo