Nafasi Ya Matangazo

October 06, 2013

IMG_4231 
Fay Destiny akijiandaa kbla ya ufunguzi wa albam yake katika hoteli ya Hampton Inn College Park jijini Maryland Jumamosi Oktoba 5, 2013 na Jumapili ataendelea na sehemu ya pili ya ufunguzi huo ,vyakula na vinywaji vitatolewa kwa wote bila malipo mnakaribishwa kuanzia saa saba mchana. IMG_4236 
Fay na mwimbaji mwenzake Malaika Ngosso. IMG_4235 
Fay akipoz na Anti Grace Mgaza Sebo. IMG_4289 
Fay akiimba wimbo wake huku akipewa tafu na mchungaji Ensy Mwalukasa. IMG_4248 
Pastor Ngosso katika Organ. IMG_4252 
Fay akiimba kwa upako mkubwa akipewa tafu na Malaika Ngosso n mwanae. IMG_4286 
Fay akiupagawisha umati wa wa .Kwa piha zaidi ungana na Sundayshomari.com
Posted by MROKI On Sunday, October 06, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo