Nafasi Ya Matangazo

February 13, 2013

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwapa pole Dr Kimei(katikati) na dada yake.
Pichani ni Mawaziri wakuu wastaafu Mh Edward Lowassa na Mh Fredrick Sumaye wakijumuika na viongozi wengine katika msiba wa mama yake mkurugenzi mtendaji mkuu wa CRDB, Dr.Charles Kimei mwishoni mwa wiki huko Komakundi Marangu Mkoani Kilimanjaro.
Posted by MROKI On Wednesday, February 13, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo