Nafasi Ya Matangazo

February 13, 2013



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt.Emmanuel Nchimbi pamoja na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema muda mfupi baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa maofisa waandamizi wa Jeshi  la Polisi ulifanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kufungua mkutano wao wa Mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma jana Jioni,Kauli Mbiu ya mkutano Huo ni” Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti,”.Walioketi Mbele ni.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi,Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema,Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda na Naibu Spika Johna Ndugai.
Posted by MROKI On Wednesday, February 13, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo