Nafasi Ya Matangazo

January 01, 2013

Mkazi Huyu wa Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam jana aliupokea Mwaka mpya kwa ajali ya Kugonhgwa na Pikipiki katika kituo cha daladala Mombasa saa 6 usiku wakati wa shamra shamra za kuingia mwaka Mpya. Kwa Mujibu wa Mashuhuda wanadai kuwa kijana huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja aligongwa wakati mwendesha pikipiki akija kwa kasi nayeye kusimama mbele yake na kumfanyia masihara. Kijana huyu alivunjika mguu mmoja na mwenda pikipiki huyo hakupatikana kwani alipo mgonga tu alinyanyuka na kukimbia.
Posted by MROKI On Tuesday, January 01, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo