Nafasi Ya Matangazo

December 20, 2012

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwatangazia watahiniwa wanaotarajia kufanya mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2013 kuwa, mtihani huo utafanyika mwezi Februari. Mabadiliko ya mihula yaliyofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi yataanza kutumika na Watahiniwa wa Kidato cha Nne mwaka 2013, ambao watafanya mtihani wao mwezi Novemba na Watahiniwa wa Kidato cha Sita mwaka 2014 ambao watafanya mtihani wao mwezi Mei.

Posted by MROKI On Thursday, December 20, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo