Nafasi Ya Matangazo

November 20, 2012

Wachezaji wa Kilimanajro Stars inayoiwakilisha Tanzania Bara wakiwa  mazoezini katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Kombe la Tusker CECAFA Challenge yanayotarajiwa kuanza Jijini Kampala, Uganda Jumamosi hii. Timu hii inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Posted by MROKI On Tuesday, November 20, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo