Nafasi Ya Matangazo

October 02, 2012

 Warembo wa Redds Miss Tz wakiwa katika hatua za awali kambini Giraffe Hotel wakiwa kwenye kupata chakula cha Mchana.
 Washiriki wa shindano la Miss Tanzania 2012 wakijichana.
 Washirki wa shindano la Miss Tanzania 2012 wakiwa katika hatua mbalimbali za maelekezo katika kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Giraffe,Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania,Albert Makoye akitoa maelekezo ya namna ya kutuma vifaa mbalimbali na ratiba ya chakula kwa kipindi chote watakapo kuwa kambini hapo
Washiriki wa shindano la Miss Tanzania 2012 wakiwa katika hatua mbalimbali za maelekezo katika kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Giraff hapa mmoja kati ya wafanyakazi wa Hotel hiyo bwana  James Philbert akitoa maelekezo ya namna ya kutuma vifaa mbalimbali na ratiba ya chakula kwa kipindi chote watakapo kuwa kambini hapo.
Posted by MROKI On Tuesday, October 02, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo