Nafasi Ya Matangazo

August 27, 2012










Pata linki za Youtube za Epiq Bongo Star Search za wiki iliyopita na wiki hii. Tutawatumia linki za video za Youtube kutoka kwenye kipindi cha Jumapili Ijumaa hii. Jumapli hii, kipindi cha Epiq Bongo Star Search kitakuwa kinaonyeshwa kwenye screen kubwa pindi ikiwa inaonyeshwa ITV Mbalamwezi Beach Club. Kiingilio ni Tsh. 3000.. Karibu tutazame kipindi wote.
Posted by MROKI On Monday, August 27, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo