Nafasi Ya Matangazo

August 20, 2012

Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Dar live Maneno alishinda kwa point.

NI MAWE MSASUMBWI KWA KWENDA MBELE NGUMI NGUMI
MANENO OSWARD AKIJARIBU KUTUPIANA NGUMI ZA MABISHANO NA RASHIDI MATUMLA YANI NIPE NIKUPE MPAKA MWISHO WA MCHEZO MANENO ALIBUKA MSHINDI KWA POINT.Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Dar live Maneno alishinda kwa point.

MANENO OSWARD AKIJARIBU KUTUPIANA NGUMI ZA MABISHANO NA RASHIDI MATUMLA YANI NIPE NIKUPE MPAKA MWISHO WA MCHEZO MANENO ALIBUKA MSHINDI KWA POINT.Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Dar live Maneno alishinda kwa point.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Posted by MROKI On Monday, August 20, 2012 1 comment

1 comment:

  1. Mimi nachomshauri MATUMLA Kwa sasa ajaribu kustaafu na aelekeze nguvu zote za mafanikio kwa wadogo zake ambao nao wamechipukia katika Mchezo wa Ndondi.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo