Nafasi Ya Matangazo

August 10, 2012

 Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Honest Mwanossa akizungumza mara baada ya kukagua miradi ya Zahanati na Bwalo la wanafunzi katika Kata ya Mrangarini wilayani Arumeru, pembeni anayemsikiliza ni Diwani wa Kata hiyo Mathias Manga.
 Enzi za Mwalimu Nyerere Mwenge wa Uhuru haikuwa hivi, hapa umati wa watu ungekuwa umetanda barabara nzima lakini angalia hii. Hapa ni Kata ya Ngarenanyiki mahali ambapo Mwenge ulilala kwa wilaya ya Arumeru.
 Mkuu wa wilaya ya Arumeru mwenye tracksuit ya Kijani akimkabidhi Mwenge Mkuu wa wilaya ya Longido James Ole Millya makabidhiano hayo yalifanyika eneo la Tingatinga wilayani Longido.
Nimeiona miradi iliyopo ndani ya wilaya yako sasa mimi naondoka ndivyo anavyoonekana kusema kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Honest Mwanossa mara baada ya kumaliza kufungua mradi wa Nyumba ya Mwalimu katika eneo la Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha.
Posted by MROKI On Friday, August 10, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo