Nafasi Ya Matangazo

July 29, 2012

 Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa ajili ya kuiunga mkono
 Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akiomba duwa baada ya kufutulu na waislam wenzake Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa kuiunga mkono

Baazi ya waumini wa kiislamu wakiomba Duwa baada ya kumaliza kufuturu wakati wa kuitambulisha Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam
Posted by MROKI On Sunday, July 29, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo