Nafasi Ya Matangazo

July 09, 2012

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante(kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam Jana jioni.Kulia nia Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante wakati mgeni huyo alipomtembelea Rais jana jioni.kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.
Posted by MROKI On Monday, July 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo