Nafasi Ya Matangazo

July 09, 2012

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mama MariaNyerere Tuzo ya Juu ya Heshima ya Taifa la Burundi aliyotunukiwa Baba wa Taifahayati Mwalimu Julius Nyerere wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru waBurundi yaliyofanyika mjini Bujumbura wiki iliyopita.Mwalimu Nyererealitunukiwa tuzo hiyo kwa mchango wake wakati wa harakati za kupigania uhuru waBurundi ambapo alikuwa mshauri wa karibu wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa nchi hiyo Prince LouisRwagasore. Rais Kikwete alimkabidhi Mama Maria tuzo hiyo leo asubuhi ikulujijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Monday, July 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo