Nafasi Ya Matangazo

July 09, 2012

Kocha wa timu ya Kivule Veterani, ambaye ni mchezaji wa zamani wa Simba Kureshi Ufunguo akipokea jezi kutoka kwa Ali Mwaiposa ambaye alitoa msaada kwa timu hiyo kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Eugen Mwaiposa.
 Wachezaji wa timu ya Kivule Veterani, wakishangilia baada ya kupatiwa msaada wa jezi mpya na Ali Mwaiposa ambaye alikabidhi kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa katika hafla iliyofanyika baada ya mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo na Kitunda Veterani kumalizika, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kitunda jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA).
Posted by MROKI On Monday, July 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo