Nafasi Ya Matangazo

July 04, 2012

 Dk.Harrison Mwakyembe ,Mwenyekiti wa kongamano la Katiba akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mh. Joseph Sinde Warioba
 Hassan A. Haji kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu ZNZ (TUME) akijibu baadhi ya hoja zilizoletwa na wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu
 Mh.Joseph Sinde Warioba akifunga Kongamano la Katiba lililoratibiwa na TAHLISO.
Naibu Katibu wa tume ya mabadiliko ya katiba akifafanua Nd.Casmir S. Kyuki akisisitiza umuhimu wa vijana wasomi katika mchakato huu wa Katiba
 Wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali wakifuatilia kwa umakini hoja mbali mbali kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Said Nzori kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu Bara (TUME
Posted by MROKI On Wednesday, July 04, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo