Nafasi Ya Matangazo

June 17, 2012

 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam, wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events katika Ukumbi wa Litre Theatle.
 Michael Kapinga  akionyesha umahiri wa kuonyeshakipaji cha  kuimba  wimbo wa I tried ulioimbwa na Akon na Bone Thugz, wakati wa hafla ya  kujipongeza kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo jijini Dar es Salaam,kwa kuhitimu kidato cha Nne na cha Sita ,Hafla hiyo iliandaliwa na Saida Kapinga wa Elements Events.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo jijini Dar es Salaam,Owen Karonga na Carine Maro ambao waliibuka washindi kwaa kuwanadhifu katika hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na cha sita iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Oysterbay ,Kulia ni Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga ambaye ndiyealiyeandaa hafla hiyo.kushoto ni Mwalimu wa Wanafunzi hao.
 Wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam,carine Maro ambaye aliipuka Mshindi wa kuvaa vizuri kwa upande wa wasichana na Owen Maronga ambaye pia aliibuka mshindi kwa upande wa wanaume wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya Kidato cha Nne na Cha sita hafla hiyomiliandaliwa na Elements Events ya jijini Dar es Salaam.
Michael Kapinga akihojiwa na Mon Rack (kulia) baada ya kuonyesha kipajhi cha hali ya juu cha imba,wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Sunday, June 17, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo