Nafasi Ya Matangazo

June 27, 2012

Kamanda wa UVCCM, Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani, Aida Mtei (pichani) amefariki dunia. Mipango ya Mazishi inafanyika Nyumbani kwa wazazi wake Mbezi kabla ya Rembow. 

Father Kidevu Blog inaungana na Ndugu, Jamaa, Marafiki, na Wanachama wote wa Chama cha Mapunduzi Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kibaha na Taifa kwa ujumla kwa Msiba huu mzito. 

Posted by MROKI On Wednesday, June 27, 2012 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJune 28, 2012

    "Nimeshtushwa sana na taarifa ya msiba huu! Ninaomba nichukue nafasi hii kwa masikitiko makubwa sana kutuma salaam zangu za pole kwa familia ya marehemu,wazazi wake ndugu na jamaa zake.

    Ninamwomba Mwenyezi mungu awape nguvu,upendo na faraja katika wakati huu mgumu ili hatimae muweze kumlaza kwenye nyumba yake ya milele tukiamini ni mapenzi yake!

    Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema! Amen!

    Dada Grace
    Zambia"

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo