Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2012

Brenda.
Cecy.
 Aisha
 Happy
Pendo
Roswita
 Whitney
Amina.
NI BAADHI YA WASHIRIKI WATAKAOPANDA JUKWAANI USIKU WA LEO IJUMAA,  KATIKA KUMPATA MISS NYAMAGANA 2012. KATIKA UKUMBI WA GOLD CREST JIJINI MWANZA.  SHUGHULI NZIMA INASIMAMIWA NA STOPPERS ENTERTAINMENT.


BURUDANI ITATOLEWA NA LINAH, DITTO NA HAFSA KAZINJA.

MSHEHERESHAJI MKUU AU MC WA SHUGHULI NZIMA NI MASANJA MKANDAMIZAJI KUTOKA KUNDI LA ORIGINAL KOMEDI.
Posted by MROKI On Friday, June 01, 2012 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJune 01, 2012

    Mbona wengine wana matumbo kama tayari wana watoto? Na huyo Pendo ana umri gani jamani mbona anaonekana kama mtu mzima sana?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo