Nafasi Ya Matangazo

June 18, 2012

 Meneja wa kinywaji cha CASTLE LAGER Kabula nshimbo kulia akicheza mfano wa mrira wa miguu kwenye uzinduzi wa kampeni ya kumtafuta Shabiki bora wa Castle kwenye kampeni ya Castle Super Fan ambapo mshindi atapata nafasi ya kuliwakilisha Taifa katika timu ya Afica ya Ushangiliaji (Afirica United Super fan)Nchini Afrika ya kusini
 Meneja wa matukio maalum wa TBL Martine Ngadada akionyesha ujuzi wake katika uzinduzi wa kampeni ya kumtafuta Shabiki bora wa Castle kwenye kampeni ya Castle Super Fan ambapo mshindi atapata nafasi ya kuliwakilisha Taifa katika timu ya Afica ya Ushangiliaji (Afirica United Super fan)Nchini Afrika ya kusini

Posted by MROKI On Monday, June 18, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo