Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2012



Warembo wa Miss Kurasini 2012 ambao leo wanataraji kupanda jukwaani kuwania taji la Redds Miss Kurasini 2012 wakiwa katika moja ya Maduka ya Mzamini wao Mkuu NAEEMS CLASIC WAER  lililopo Kariakoo Mtaa wa Pemba na Msimbazi jijini Dar es Salaam.

Warembo hao walitembea Duka hilo linalouza mavazi, urembo na vitu vingine mbalimbali vinavyouzwa katika Duka hilo kali na la aina yake jijini.

NAEEMS CLASIC WAER wakali wa pamba na viatu vya uhakika pia wanapatikana Mikocheni Barabara ya Zamani ya Bagamoyo mkabala na Shule ya Msingi Feza.
 Hakika ni pamba za ukweli zilizopo NAEEMS CLASIC WAER na hapa warembo wakizikubali

Warembo wa Redds Miss Kurasini leo watapanda jukwaani kuwania taji hilo huku Mdhamini Mkuu akiahidi zawadi kem kem.
 
Viatu navyo vipo vya uhakika katika maduka yote mawili ya NAEEMS CLASIC WAER yaliyopo jijini Dar es Salaam pale Kariakoo na Mikocheni.
Posted by MROKI On Friday, May 25, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo