Nafasi Ya Matangazo

May 08, 2012

Familia ya Ngahyoma wa Dar Es Salaam, inasikitika kutangaza Kifo cha Mama yao Mpendwa Bibi Jesca Ngahyoma kilichotokea 06.05.12 Mbweni, DSM.

Msiba upo Mbweni Ma-site; Nyumba No 53 Nyumbani kwa Judith Nyanza. Misa ya Kumuombea marehemu itakuwa Jumanne, 08.05.12 Nyumbani Mbweni Ma-site saa tisa jioni. Mwili wa Marehemu utasafirishwa kwenda Songea mjini kwa Mazishi siku ya Jumatano alfajiri na Marehemu anatarajia kuzikwa Songea Mjini siku ya Alhamisi 10.05.12.

Kwa ndugu waliopo Songea, Msiba upo nyumbani kwa Marehemu eneo la Mahenge (Songea Mjini), Angoni arms

“Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa, jina la bwana lihimidiwe”
Posted by MROKI On Tuesday, May 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo