Nafasi Ya Matangazo

May 11, 2012

Msanii wa muziki wa Kizazi kipya,Diamond akielezea namna alivyojiandaa kufanya unyesho shoo kubwa kwenye fainali ya Redd's Miss IFM jumamosi hii kwenye Ufukwe wa CINE CLUB,Wengine Pichani ni warembo wa shindano hilo Rosa Damazo (kushoto) na Waliosimama ni Teressia Issaya (kulia) na Caroline Dandu na kushoto ni Mwalimu wa Warembo hao,Ester Willson.

Mkurugenzi wa kampuni ya LINO Agency ambao ni waandaaji wa Shindano la Redd's Miss Tanzania,Hashim Lundenga (katikati) akizungungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss IFM juu ya vigezo na taratibu za kumpata mshindi kwenye fainali zinazotarajia kufanyika siku ya Jumamosi kwenye ufukwe wa Beach ya CINE Club jijini Dar.Kushoto ni Muandaaji wa Redd's Miss Highr Leaning na Kulia ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania,Bosco Majaliwa
Posted by MROKI On Friday, May 11, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo