Nafasi Ya Matangazo

March 31, 2012

Mgombea  Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CCM,Sioi Sumari akihutubia kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
 
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tikeki ya CCM,Sioi Sumari kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akihutubia kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akisalimia wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa akiwasili kwenye  viwanja vya kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tikeki ya CCM,Sioi Sumari wakisalimia wananchi wakati wakiwasili kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.

 
Posted by MROKI On Saturday, March 31, 2012 2 comments

2 comments:

  1. Poleni sana. Jifunzeni sasa, taratibu tu mpaka Chadema wanaipata nchi nzima mliyowaibia ktk uchaguzi 2010.

    ReplyDelete
  2. POLENI SANA WAIBA KURA SASA WAKATI UMEFIKA WA UKWELI KUWA WAZI NA UONGO KUJULIKANA JAPO MMESHATUFILISI TUTAFIKA TU CCM BYE BYE

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo