Nafasi Ya Matangazo

March 25, 2012

 Kikosi kamili cha Simba kilichoshuka dim,bani hii leo kuchuana na Es Satif, Simba katika kimpindi cha pili imejipatia goli la kwanza.
 Kikosi cha timu ya ES Satif ya Algeria katika picha ya pamojha.
 Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akiambaa ambaa na mpira
 Mshambiliaji machachari wa Simba Mwinyi Kazimoto akiwa uwanjani na mpira
 Emmanuel Okwi na Amir Maftah wakimtoka mlinzi wa Es Satif
 Mlinzi wa Simba Amir Maftah akimkaba Youcef Ghezzali wa Es Satif ya Algeria wakati wa mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho uliopigwa Machi 25,2012 katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.
 Youcef Ghezzali wa Es Satif ya Algeria akiachia shuti kuelekea lango la Simba huku  Mlinzi wa Simba Amir Maftah akimkaba wakati wa mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho uliopigwa Machi 25,2012 katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.
 Felix Sunzu wa Simba akipenya katikati ya walinzi wa ES Satif ya Algeria
 Emmanuel Okwi wa Simba akijaribu kumtoka  Youcef Ghezzali wa Es Satif ya Algeria.
 Felix Sunzu mshumbaliaji wa Simba akimpumulia mgongoni mlinda mlango wa timu ya ES Satif ya Algeria, Mohamed Benhamou.
 Youcef Ghezzali wa Es Satif ya Algeria akimwangalia Amir Maftah wa Simba ya Tanzania akipiga shuti wakati timu hizo zilipokutana hii leo katika mchezo wa kuwania Kombe la Shirikishobarani Afrika.Hadi mapiumziko timu hizo zilitoshana nguvu ya bila ya kufungana.
Posted by MROKI On Sunday, March 25, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo