Nafasi Ya Matangazo

November 02, 2011

Leo ni tarehe ya Kuzaliwa Mmoja wa wasisi wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya MAPACHA WATATU JOSE MARA, ambaye hii leo anatimiza miaka kadhaa. FATHER KIDEVU BLOG inaungana na wadau wote wa Jose Mara na wapenzi wa Mapacha Watatu kumtakie Kila la heri katika mwaka wake mpya anaouanza hii leo. Mungu amjalie Hekima na Busara katika siku ampazo, awe kiongozi mwema wa familia na akawe mfano mwema katika jamii ya Watanzania na dunia kwa ujumla. 
Happy Birthday!! Happy Birthday!! Happy Birthday!!
Posted by MROKI On Wednesday, November 02, 2011 1 comment

1 comment:

  1. Happy Birthday jembe la ukweli Wa kimara

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo