Nafasi Ya Matangazo

October 21, 2011

Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo ya Utafiti wa Kuangalia ainayaumri wa Mawe ya Mafuta kwa  Geologia wa Mafuta Bi Venosa Ngowi alipotembelea Maabara ya  Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania huko Benjamin Mkapa Towers Mjini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Muungano Samia Suluhu Hassan akionyeshwa Ramani na  Sehemu za Visima vya  Mafuta na Mkurugenzi Utafiti Uzalishaji Bw Halfani Halfani wakati wa Ziara alipotembelea Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania[TPDC] kwenye Ofisi zao Benjamini Mkafa Tawers Mjini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo kutoka kwa  Mkurugnzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Tetroli Tanzania[TPDC] Bw Yona Kilagane kuhusu  Maktaba ya Kuhifadhia Nyaraka za Utafiti na Uvumbuzi wa Mafita kwenye Ofisi zao Jengo la Benjamini Mkapa Towers Mjini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Friday, October 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo