Nafasi Ya Matangazo

October 20, 2011

Mbunge wa Bagamoyo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akizindua Gari la Matangazo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) katika uwanja wa Top-Top mjini Bagamoyo jana. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Emanuel Humba.
AKIZINDUA RASMI KWA KULIPANDA GARI LA MATANGAZO LA MFUKO WA AFYA YA JAMII KATIKA VIWANJA VYA TOP-TOP KUASHIRIA UTEKELEZAJI WA MAPANGO KABAMBE WA SERIKALI KUWASHIRIKISHA WANANCHI KATIKA KUSIMAMIA NA KUCHANGIA  HUDUMA ZA MATIBABU KWENYE HALMASHAURI ZAO NI MBUNGE WA BAGAMOYO  NA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI .
UANDIKISHAJI WA WANACHAMA ULIFANYIKA ON THE SPOT BAADA YA UHAMASISHAJI NA WANANCHI KUELEWA NIA YA MPANGO WA SERIKALI KUPITIA CHF AMBAYO IMEKASIMIWA MAJUKUMU YAKE NHIF.JAMII INAPASWA KUTAMBUA NA KUTHAMINI HATUA NA JUHUDI ZA MAKUSUDI KTK KUFANIKISHA UPATIKANAJI WA HUDUMA BORA NA STAHIKI KWA PAMOJA.
Posted by MROKI On Thursday, October 20, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo